Airtime: Ni huduma mpya ya kuchat kwa kutumia video mitandaoni.


Airtime is the brainchild of Sean Parker and Shawn Fanning - the duo who created Napster.


Airtime, ni chat mpya ya video inayotoa huduma  ambazo zinaakutanisha  na marafikiwa wako, na watu ambao pia hujawahi kukutana nao, na kuanza kuongea.

“Airtime, a new video chat service which connects strangers, promises an unwelcome return to the ‘Wild Wild West’ days of the early web, writes Emma Barnett.’’

Kama hujajua kuhusu Airtime,Airtime ni app mpya ya kuchat kwa kutumia video ambayo inaruhusu marafiki na watu msiojuana kuongea. Ilanzishwa na Sean Parker na Shawn Fanning, ambao wapo Napster. Baada ya kuonekana kinathamani wakaona wa izindue rasmi kwa huduma zao za kwanza katika jiji la NewYork, ambapo Airtime ilishindwa kufanya kazi mara kadhaa mbele ya umati watu maarufu. Bado haijajulikana kiukweli kwanini teknolojia hii nzuri wajasiriamali wanafikiria kuwa bidhaa/huduma hii ina soko.

Haya ni maelezo ya Airtime wa raison, raison d’etre: “orodha ya watumiaji wa huduma hii wanatoke kwenye orodha ya marifiki wao waliopo kwenye facebook, lakini lengo kubwa la huduma hii “nikuongea na mtu”(“talk to someone”) kwa kubonyeza button, ambapo ukibonyeza tu unakutana na box la chat la video.

“washiriki wanaoendana kwa tabia, ukaribu wasehemu walionao, wanaendana kwa vitu wanavyovipenda, wanaoshare vitu wavipendavyo kutoka kwa marafiki or rafiki wa rafiki ya ko. Yeyote yanaweza au yote katika hizo sifa zianaweza zisichaguliwe, kabla ya kutenda, au kufanya maamuzi.

“Watumiaji wanaweza kuona nini wao wanaweza kushiriki katika mazungumzo yao ya kawaida ili kusaidiana katika mambo magumu  na kwa kuchagua kusema, na kuonyesha majina yao.
ukitaka kujaribu app hii wewe bofya link hii airtime

Share This Post

Related Articles

Leave a Reply

© 2013 POPOTEMedia. All rights reserved.