Re:route ni app mpya inayotoa tuzo kwa watembeaji wa miguu na waendesha baiskeli.

 App mpya kutoka Recyclebank kwa ajili ya kuwa wapa moyo watumiaji wanaotembea na wanaendesha baiskeli kwa mda mrefu kwa kuwapa ofa na Punguzo la beig

Re:route ni App mpya ambayo kwa sasa inapatikana kwenye iPhone, ambayo inamwezesha mtumiaji kukusanya points ambazo zinaongezeka kwa kutembea kwa miguu au baiskeli kwenye jiji la London.
Points hizo zinaongezeka kwa kutembea au kuendesha kwa baiskeli kwenda kweny Recyclebanks ambayo ni programmu iliyotengenezwa kwa ajili ya kukupa tuzo. Ambazo zitakupa ofa na pumguzo la bei kwenye vitu vifuatavyo “Marks na Spencer, Planet Organic na Champneys” ambayo vinaweza kununuliwa kwa points sasa.
Safari ya ukweli unaweza ukapata points kuanzia 5 mpaka 75 ambayo nisawa na punguzo la bei la paundi tano , £5 pale user anapo tumia paundi 25 (£25) kwenye chakula, wine na maua kwenye M&S (market na Supermarket)
Watengenezaj wa App hii watumaini kuwa watumiaji wata kuwa fiti na nakusaidia kupunguza misongamano.
Ben Plowden mkurugenzi wa mipango kwa ajili ya Usafirishaji (TFL) kwenye Jiji la London, alisema “ watu wengi wakiwa wanaendesha baiskeli na kutembea watasaidia kupunguza misongamano kwenye barabara zetu. Kwa kutumia njia kama Re:route ambayo ni njia nzuri ya kusaidia kufanikisha madhumuni TFL. Kwa sasa tunafurahi umuhimu wa hii App maana itawafanya watu waendeshe baiskeli na kutembea kwenye London 2012 Games, ambapo barabara za London na Nyanja zote za umma zitakuwa zimefurika”

Source: The Telegraph

Share This Post

Recent Articles

5 Responses to “Re:route ni app mpya inayotoa tuzo kwa watembeaji wa miguu na waendesha baiskeli.”

  1. Hey wote, mimi kwa kweli kufurahia halisi internet-site! Hii ni hakika ukurasa Fabulous. Sisi wote shauku ya kusoma hata zaidi ya kuvutia habari katika ambayo you’ll kugeuka kutoka kuwa kuchapisha katika siku zijazo. Nimejifunza mengi nzima kwa hili. Shukrani kwa ajili ya ufahamu wako.

  2. I am really enjoying the theme/design of your weblog. Do you ever run into any browser compatibility issues? A small number of my blog audience have complained about my website not working correctly in Explorer but looks great in Opera. Do you have any ideas to help fix this issue?

  3. I think that is one of the most significant info for me. And i am happy studying your article. But wanna commentary on some general issues, The site style is great, the articles is in reality great : D. Just right job, cheers

  4. Katie says:

    This is a comment to the webmaster. I discovered your “Re:route ni app mpya inayotoa tuzo kwa watembeaji wa miguu na waendesha baiskeli. | POPOTEMedia” page via Google but it was hard to find as you were not on the first page of search results. I see you could have more visitors because there are not many comments on your site yet. I have found a website which offers to dramatically increase your rankings and traffic to your website: http://www.trafficforseo.com/web-traffic. I managed to get close to 1000 visitors/day using their services, you could also get lot more targeted traffic than you have now. I used their services and got significantly more traffic to my site. Hope this helps :) Take care.

  5. itune says:

    I bookmarked this guestbook. Thank you for very good position! .

Leave a Reply

© 2013 POPOTEMedia. All rights reserved.